1 Fal. 1:42 SUV

42 Naye alipokuwa katika kunena, tazama Yonathani, mwana wa Abiathari kuhani, akafika. Naye Adonia akasema, Karibu; maana wewe u mtu mwema, unaleta habari njema.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:42 katika mazingira