1 Fal. 1:44 SUV

44 Tena mfalme alipeleka pamoja naye Sadoki, kuhani, na Nathani, nabii, na Benaya, mwana wa Yehoyada, na Wakerethi, na Wapelethi, wakampandisha juu ya nyumbu wa mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:44 katika mazingira