1 Fal. 1:45 SUV

45 Kisha Sadoki, kuhani, na Nathani, nabii, wakamtia mafuta huko Gihoni, ili awe mfalme. Nao wamepanda juu kutoka huko wakifurahi, hata mji ukavuma. Ndizo kelele zile mlizozisikia.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:45 katika mazingira