1 Fal. 1:47 SUV

47 Na tena, watumishi wa mfalme walifika, ili wambariki bwana wetu mfalme Daudi, wakisema, Mungu wako na alikuze jina la Sulemani kuliko jina lako, na kukifanya kiti chake cha enzi kuwa kitukufu kuliko kiti chako. Naye mfalme akainama chini juu ya kitanda chake.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:47 katika mazingira