1 Fal. 1:48 SUV

48 Na tena, mfalme akasema hivi, BWANA, Mungu wa Israeli, ahimidiwe, aliyenipa leo hivi mtu wa kuketi katika kiti changu cha enzi, nayo macho yangu yakiwa yanaona hayo.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:48 katika mazingira