1 Fal. 10:10 SUV

10 Basi akampa mfalme talanta za dhahabu mia na ishirini, na manukato mengi, mengi sana, na vito vya thamani; wala haukuja tena wingi wa manukato, kama hayo malkia wa Sheba aliyompa mfalme Sulemani.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 10

Mtazamo 1 Fal. 10:10 katika mazingira