1 Fal. 10:12 SUV

12 Mfalme akafanya kwa mia hiyo ya msandali nguzo za nyumba ya BWANA, na za nyumba ya mfalme, na vinubi na vinanda vya hao waimbaji; wala haikuja miti ya msandali kama hiyo, wala haikuonekana, hata leo.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 10

Mtazamo 1 Fal. 10:12 katika mazingira