1 Fal. 10:13 SUV

13 Naye mfalme Sulemani akampa malkia wa Sheba haja yake yote, kila alilotaka, zaidi ya hayo aliyopewa na Sulemani kwa ukarimu wake wa kifalme. Basi, akarudi akaenda zake katika nchi yake, yeye na watumishi wake.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 10

Mtazamo 1 Fal. 10:13 katika mazingira