1 Fal. 10:2 SUV

2 Akaingia Yerusalemu na wafuasi wengi sana, na ngamia wachukuao manukato, na dhahabu nyingi sana, na vito vya thamani; alipomfikilia Sulemani, akazungumza naye mambo yote aliyokuwa nayo moyoni.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 10

Mtazamo 1 Fal. 10:2 katika mazingira