1 Fal. 10:3 SUV

3 Naye Sulemani akamfumbulia maswali yake yote; wala hakukuwa na neno alilofichiwa mfalme asimwambie.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 10

Mtazamo 1 Fal. 10:3 katika mazingira