1 Fal. 11:26 SUV

26 Na Yeroboamu wa Nebati, Mwefraimu wa Sereda, mtumwa wake Sulemani; ambaye jina lake mamaye aliitwa Serua, mwanamke aliyefiwa na mumewe; yeye naye akainua mkono wake juu ya mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 11

Mtazamo 1 Fal. 11:26 katika mazingira