28 Na huyo Yeroboamu alikuwa mtu hodari, shujaa; Sulemani akaona ya kuwa kijana huyo ni mtu mwenye bidii, akamweka juu ya kazi yote ya nyumba ya Yusufu.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 11
Mtazamo 1 Fal. 11:28 katika mazingira