29 Ikawa zamani zile Yeroboamu alipokuwa akitoka katika Yerusalemu, nabii Ahiya, Mshiloni, alikutana naye njiani; naye Ahiya amevaa vazi jipya, na hao wawili walikuwa peke yao mashambani.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 11
Mtazamo 1 Fal. 11:29 katika mazingira