1 Fal. 11:40 SUV

40 Basi Sulemani akataka kumwua Yeroboamu, lakini Yeroboamu akaondoka, akakimbilia Misri, kwa Shishaki, mfalme wa Misri, akakaa katika Misri hata wakati wa kufa kwake Sulemani.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 11

Mtazamo 1 Fal. 11:40 katika mazingira