1 Fal. 11:41 SUV

41 Nayo yaliyosalia ya Sulemani, mambo yake na yote aliyoyafanya, na hekima yake, je! Hayo siyo yaliyoandikwa kitabuni mwa mambo yake Sulemani?

Kusoma sura kamili 1 Fal. 11

Mtazamo 1 Fal. 11:41 katika mazingira