1 Fal. 12:14 SUV

14 akawajibu kama vile walivyomshauri vijana, akasema, Baba yangu alilifanya zito kongwa lenu, bali mimi nitaongeza kongwa lenu; baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, bali mimi nitawapigeni kwa nge.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 12

Mtazamo 1 Fal. 12:14 katika mazingira