1 Fal. 12:15 SUV

15 Basi mfalme hakuwasikia wale watu; maana jambo hili lilitoka kwa BWANA, ili alitimize neno lake, BWANA alilomwambia Yeroboamu mwana wa Nebati kwa kinywa cha Ahiya Mshiloni.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 12

Mtazamo 1 Fal. 12:15 katika mazingira