1 Fal. 13:24 SUV

24 Na alipokuwa amekwenda zake, simba alimkuta njiani, akamwua. Maiti yake ikatupwa njiani, na yule punda akasimama karibu naye; na yule simba naye akasimama karibu na maiti.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 13

Mtazamo 1 Fal. 13:24 katika mazingira