1 Fal. 13:25 SUV

25 Na tazama, watu wakapita, wakauona mzoga umetupwa njiani, na yule simba akisimama karibu na mzoga, wakaenda, wakatoa habari katika mji ule alimokaa yule nabii mzee.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 13

Mtazamo 1 Fal. 13:25 katika mazingira