1 Fal. 13:6 SUV

6 Mfalme akajibu, akamwambia yule mtu wa Mungu, Umsihi sasa BWANA, Mungu wako, ukaniombee, ili nirudishiwe mkono wangu tena. Yule mtu wa Mungu akamwomba BWANA mkono wa mfalme ukarudishwa tena, ukawa kama ulivyokuwa kwanza.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 13

Mtazamo 1 Fal. 13:6 katika mazingira