1 Fal. 13:7 SUV

7 Mfalme akamwambia mtu wa Mungu, Karibu nyumbani kwangu ujiburudishe, nami nitakupa thawabu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 13

Mtazamo 1 Fal. 13:7 katika mazingira