18 Israeli wote wakamzika, wakamlilia; sawasawa na neno la BWANA, alilolinena kwa mkono wa mtumishi wake Ahiya nabii.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 14
Mtazamo 1 Fal. 14:18 katika mazingira