1 Fal. 14:26 SUV

26 akazichukua hazina za nyumba ya BWANA, na hazina za nyumba ya mfalme; akazichukua zote. Akazichukua pia ngao zote za dhahabu alizozifanya Sulemani.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 14

Mtazamo 1 Fal. 14:26 katika mazingira