1 Fal. 14:27 SUV

27 Mfalme Rehoboamu akafanya ngao za shaba mahali pake, akawakabidhi wakuu wa walinzi, waliongoja mlangoni pa nyumba ya mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 14

Mtazamo 1 Fal. 14:27 katika mazingira