23 Katika mwaka wa thelathini na moja wa Asa, mfalme wa Yuda, Omri alianza kutawala juu ya Israeli, akatawala miaka kumi na miwili. Akatawala huko Tirza miaka sita.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 16
Mtazamo 1 Fal. 16:23 katika mazingira