1 Fal. 16:24 SUV

24 Kisha akanunua kilima cha Samaria kwa Shemeri kwa talanta mbili za fedha; akajenga juu ya kilima kile, akauita mji alioujenga Samaria, kwa kuliandama jina lake Shemeri, aliyekuwa mwenye kilima.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 16

Mtazamo 1 Fal. 16:24 katika mazingira