1 Fal. 17:12 SUV

12 Naye akasema, Kama BWANA, Mungu wako, aishivyo, sina mkate, ila konzi ya unga katika pipa, na mafuta kidogo katika chupa; nami ninaokota kuni mbili ili niingie nijipikie nafsi yangu na mwanangu, tuule tukafe.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 17

Mtazamo 1 Fal. 17:12 katika mazingira