1 Fal. 17:13 SUV

13 Eliya akamwambia, Usiogope; enenda ukafanye kama ulivyosema; lakini unifanyie kwanza mkate mdogo ukaniletee; kisha ujifanyie nafsi yako na mwanao.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 17

Mtazamo 1 Fal. 17:13 katika mazingira