1 Fal. 17:14 SUV

14 Kwa kuwa BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Lile pipa la unga halitapunguka, wala ile chupa ya mafuta haitaisha, hata siku ile BWANA atakapoleta mvua juu ya nchi.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 17

Mtazamo 1 Fal. 17:14 katika mazingira