1 Fal. 17:16 SUV

16 Lile pipa la unga halikupunguka, wala ile chupa ya mafuta haikuisha, sawasawa na neno la BWANA alilolinena kwa kinywa cha Eliya.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 17

Mtazamo 1 Fal. 17:16 katika mazingira