1 Fal. 17:17 SUV

17 Ikawa, baada ya hayo, mwana wake yule mwanamke, bibi wa nyumba ile, akaugua; ugonjwa wake ukazidi hata akawa hana pumzi tena.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 17

Mtazamo 1 Fal. 17:17 katika mazingira