18 Akamwambia Eliya, Nina nini nawe, Ee mtu wa Mungu? Je! Umenijia ili dhambi yangu ikumbukwe, ukamwue mwanangu?
Kusoma sura kamili 1 Fal. 17
Mtazamo 1 Fal. 17:18 katika mazingira