1 Fal. 17:23 SUV

23 Eliya akamtwaa mtoto, akamchukua toka orofani mpaka chini ya nyumba ile, akampa mama yake. Eliya akanena, Tazama, mwanao yu hai.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 17

Mtazamo 1 Fal. 17:23 katika mazingira