1 Fal. 17:24 SUV

24 Mwanamke akamwambia Eliya, Sasa najua ya kuwa wewe ndiwe mtu wa Mungu, na ya kuwa neno la BWANA kinywani mwako ni kweli.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 17

Mtazamo 1 Fal. 17:24 katika mazingira