1 Fal. 18:10 SUV

10 Kama BWANA, Mungu wako, aishivyo, hakuna taifa wala ufalme ambao bwana wangu hakutuma watu wakutafute; na waliposema, Hayupo, akawaapisha ule ufalme, na taifa, ya kwamba hawakukuona.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:10 katika mazingira