1 Fal. 18:12 SUV

12 Na itakuwa, mara mimi nikiondoka kwako, roho ya BWANA atakuchukua uende nisikojua; nami nitakapokwenda kumwambia Ahabu, naye asipokuona, ataniua, lakini mimi mtumishi wako namcha BWANA tangu ujana wangu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:12 katika mazingira