1 Fal. 18:13 SUV

13 Je! Bwana wangu hakuambiwa nilivyofanya hapo Yezebeli alipowaua manabii wa BWANA? Jinsi nilivyowaficha manabii wa BWANA, watu mia, hamsini hamsini katika pango, nikawalisha chakula na kuwapa maji?

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:13 katika mazingira