1 Fal. 18:21 SUV

21 Naye Eliya akawakaribia watu wote, akanena, Mtasita-sita katikati ya mawazo mawili hata lini? BWANA akiwa ndiye Mungu, mfuateni; bali ikiwa Baali ni Mungu, haya! Mfuateni yeye. Wale watu hawakumjibu neno.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:21 katika mazingira