22 Ndipo Eliya akawaambia watu, Mimi nimesalia, mimi peke yangu, nabii wa BWANA; lakini manabii wa Baali ni watu mia nne na hamsini.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 18
Mtazamo 1 Fal. 18:22 katika mazingira