1 Fal. 18:23 SUV

23 Kwa hiyo na watutolee ng’ombe wawili; wao na wajichagulie ng’ombe mmoja, wamkate-kate na kumweka juu ya kuni, wasitie moto chini; nami nitamtengeza huyo ng’ombe wa pili, na kumweka juu ya kuni, wala sitatia moto chini.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:23 katika mazingira