1 Fal. 18:27 SUV

27 Ikawa, wakati wa adhuhuri, Eliya akawafanyia dhihaka, akasema, Mwiteni kwa sauti kuu; maana ni mungu huyo; labda anazungumza, au ana shughuli, au anasafiri, au labda amelala, sharti aamshwe.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:27 katika mazingira