1 Fal. 18:26 SUV

26 Wakamtwaa yule ng’ombe waliyepewa, wakamtengeza, wakaliitia jina la Baali tangu asubuhi hata adhuhuri, wakisema, Ee Baali, utusikie. Lakini hapakuwa na sauti, wala aliyejibu. Nao wakaruka-ruka juu ya madhabahu waliyoifanya.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:26 katika mazingira