1 Fal. 18:25 SUV

25 Eliya akawaambia manabii wa Baali, Jichagulieni ng’ombe mmoja, mkamtengeze kwanza; maana ninyi ndio wengi; mkaliitie jina la mungu wenu, wala msitie moto chini.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:25 katika mazingira