1 Fal. 18:4 SUV

4 kwa kuwa ikawa, Yezebeli alipowaua manabii wa BWANA, Obadia akatwaa manabii mia, akawaficha hamsini hamsini katika pango, akawalisha chakula na kuwapa maji).

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:4 katika mazingira