1 Fal. 18:5 SUV

5 Ahabu akamwambia Obadia, Pita katika nchi, kwenye chemchemi zote za maji, na vijito vyote; labda tutapata majani, tuwahifadhi hai farasi na nyumbu, tusipate hasara ya hao wanyama wote.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:5 katika mazingira