1 Fal. 18:43 SUV

43 Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu. Naye akanena, Enenda tena mara saba.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:43 katika mazingira