1 Fal. 18:44 SUV

44 Ikawa mara ya saba akasema, Tazama, wingu linatoka katika bahari, nalo ni dogo kama mkono wa mtu. Akanena, Enenda, umwambie Ahabu, Tandika, ushuke, mvua isikuzuie.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:44 katika mazingira