1 Fal. 19:10 SUV

10 Akasema, Nimeona wivu mwingi kwa ajili ya BWANA Mungu wa majeshi; kwa kuwa wana wa Israeli wameyaacha maagano yako, na kuzivunja madhabahu zako, na kuwaua manabii wako kwa upanga; nami nimesalia, mimi peke yangu; nao wanitafuta roho yangu, waiondoe.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 19

Mtazamo 1 Fal. 19:10 katika mazingira