1 Fal. 19:9 SUV

9 Akafika kunako pango, akalala ndani yake. Na tazama, neno la BWANA likamjia, naye akamwambia, Unafanya nini hapa, Eliya?

Kusoma sura kamili 1 Fal. 19

Mtazamo 1 Fal. 19:9 katika mazingira