1 Fal. 19:12 SUV

12 na baada ya tetemeko la nchi kukawa na moto; lakini BWANA hakuwamo katika moto ule; na baada ya moto sauti ndogo, ya utulivu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 19

Mtazamo 1 Fal. 19:12 katika mazingira